Simba sports club imemsajili kiungo mshambuliaji Mwinyi Kazimoto akitokea katika timu ya Al Markhiya nchini Qatari.
Mwinyi Kazimoto alizaliwa tarehe 25 – 12 – 1988 Dodoma Tanzania aliwahi kuicheza Klabu ya Simba kuanzia mwaka 2011 – 2012 akitokea katika klabu ya JKT Ruvu ambayo aliichezea kuanzia mwaka 2007 – 2011 na baadae kujiungana klabu ya Al Markhiya nchini Qatari mwaka 2013 mpaka sasa ambapo amerudi kwenye klabu ya Simba.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)

0 Comments