Winga wa kimataifa wa Tanzania Ramadhan Singano Messi leo amejiunga na klabu ya Azam FC baada ya kamati ya
Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF kumtangaza kuwa mchezaji huru juzi.
Azam FC katika Tovuti yake rasmi inasema inamkaribisha Singano kwenye kikosi chake wakitarajia kupata huduma yake itakayoisaidia Azam FC kupiga hatua katika harakati za kujenga kikosi bora nchini.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)



0 Comments