Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:SIKILIZA ALICHOKISEMA RAMADHANI SINGANO 'MESSI",JUU YA MAAMUZI YA TFF KUHUSU MKATABA WAKE NA SIMBA

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.Jun 9,2015 SAA 01:36 USIKU

Uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo umekutana na Uongozi wa klabu ya Simba  SC ukiwakilishwa
na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Collin Frisch na mchezaji Ramadhani Yahya Singano akiandamana na Uongozi wa Chama cha Wacheaji wa Mpira wa Miguu (SPUTANZA).

 Kikao hiki kiliitishwa na TFF kujadili utata wa kimtakabta kati ya mchezaji na klabu ya Simba.

Katika kikao cha leo pande zote zimeeleza kutambua utata ulio ndani ya mikataba iliyokuwepo ambayo kimsingi iliingiwa kabla ya uongozi wa sasa wa Simba SC.

Kwa pamoja pande hizo mbili zimekubaliana kuanza mazungumzo ya makubaliano mapya na hatimaye mkataba mpya utakaoanza katika msimu mpya wa 2015/16.

Baada ya maamuzi hayo Ramadhani Yahya Singano "Messi" amezungumza,lakini akionekana bado anawasiwasi juu ya maamuzi ya Tff.

MSIKILIZE RAMADHANI SINGANO HAPO CHINI


MSIKILIZE HAPO CHINI KATIBU WA TFF SELESTINE MWESINGWA AKIJIBU MASWALI YA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MKATABA HALALI
 KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) 

Post a Comment

0 Comments