![]() |
Kocha Mkwasa (kushoto) na msaidizi wake Hemed Morocco |
Kocha msaidizi wa taifa Stars Hemedi Morocco amewataka watanzania kuwaamini na kulipa ushirikiano benchi jipya la
ufundi la timu ya taifa ya Tanzania,ili kuweza kufanikiwa .
ufundi la timu ya taifa ya Tanzania,ili kuweza kufanikiwa .
Bechi jipya la Timu ya Taifa ya Tanzania likiongozwa na kocha mkuu Chalse Boniface Mkwasa lilitambulishwa siku ya jana mara baada ya kuvunjwa benchi la ufundi la zamani lililokuwa likiongozwa na kocha Mart Nooij kutokana na Matokeo mabaya ya timu ya Taifa ya Tanzania.
Hemedi Morocco pia amebanisha kukaa na Chalse Boniface Mkwasa kwa ajili ya kutafuta mfumo watakao utumia katika kikosi cha Stars.
MSIKILIZE HEMED MOROCCO AKIZUNGUMZA NA JAMII NA MICHEZO
MSIKILIZE HEMED MOROCCO AKIZUNGUMZA NA JAMII NA MICHEZO
0 Comments