Mshambuliaji Amissi Tambwe ameibuka shujaa baada ya kuisaidia timu yake ya Yanga kuibuka na ushindi wa Mabao 2- 0
dhidi ya timu ya Bostwana ya BDF XI katika mchezo wao wa kwanza wa kombe la Shirikisho uliopingwa katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Mabao yote ya Yanga yalifungwa na Amissi Tambwe, ambapo alifunga bao la kwanza ndani ya dakika ya kwanza tu ya mchezo huo uliohudhuliwa na mashabiki wa kutosha wa Timu ya Yanga,baada ya kuonganisha kwa kichwa Krosi iliyochongwa na Simon Msuva
Na bao la pili alilolifunga Amissi Tambwe lilipatikana mara baada ya kuanza kwa kipindi cha pili,baada ya pasi iliyopingwa na Mrisho Ngassa dakika ya 55,na mshambuliaji huyo raia wa Burundi kupachika nyavuni mipira tena kwa kichwa.
ANGALIA PICHA ZA MCHEZO
Kikosi cha Young Africans Sc=
Gk.1.Ali Mustafa,6.mbuyu Twite,3.Oscar Joshua ,23.Nadir Haroub.5.Kelvin Yondani.2.Salum Telela.27 Saimon Msuva 8.Haruna Niyonzima .19.Amissi Tmbwe.17.Mrisho Ngasa.7.Andrey Coutinho.
Sub=30.Deogratius Munish.12.Juma Abdul.4.Rajab Zahir.26.Hassan Dilunga.22.Said Juma.9.Kpah Sherman.10.Jerson Tegete.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .






















0 Comments