Ticker

6/recent/ticker-posts

TIM SHERWOOD NDANI YA MAZUNGUMZO NA ASTON VILLA,ATACHUKUWA NAFASI YA PAUL LAMBART ?

Mhariri:Herman Kihwili IMEWEKWA.Feb.13,2015 SAA 11:53 JIONI
Sherwood
Tim Sherwood ameingia katika harakati za kuwania kazi ndani ya klabu ya Aston Villa baada ya kufanya
mazungumzo na mtendaji mkuu Tom Fox.

Kocha huyo wa zamani wa klabu ya Tottenham Hotspur inaeleweka amekuwa akihojiwa na ameonyesha nia ya kuchukua kazi hiyo baada ya kutimuliwa kwa Paul Lambert.
Tim Sherwood is in advanced talks with Aston Villa about replacing Paul Lambert 
Tim Sherwood is in advanced talks with Aston Villa about replacing Paul Lambert 
Sherwood has sought guarantees and financial assurances from Villa 
Sherwood has sought guarantees and financial assurances from Villa 
Paul Lambert was sacked this week following defeat by Hull on Tuesday night 
Paul Lambert was sacked this week following defeat by Hull on Tuesday night 

Villa wana nia ya kufanya uteuzi wa haraka na mwepesi baada ya matokeo yasiyoeleweka kwa klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu iliyoko katika eneo la kushushwa daraja, lakini pia wanataka meneja ambaye anaweza kukaa kwa muda mrefu.

Sherwood mwenye miaka 46,amekuwa nje ya kazi tangu afutwe kazi na Spurs Mei mwaka jana.

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) . 

Post a Comment

0 Comments