Chelsea wametangaza kuwafungia watu watatu kuingia katika dimba la Stamford Bridge kama matokeo ya uchunguzi
wa tukio lililotokea katika mji wa Paris siku yaya Jumanne.
Mtu mmoja alizuiwa kuingia ndani ya bweni la treni na kinachojulikana kuwa ni mashabiki wa Chelea waliokuwa wakiimba "Sisi ni ubaguzi wa rangi, na hiyo ni njia tunayopenda" wakati wa mechi ya Ligi ya Mabingwa hatua ya 16 dhidi ya Paris Saint-Germain.
Hatua za haraka kutoka Chelsea imewazuiwa watu hao watatu kuhudhuria kuanzai mechi ya Ligi Kuu siku ya Jumamosi dhidi ya Burnley,huku hatua zingine za uchunguzi zikiendele.
Taarifa ya klabu ilisema: "Kama itaoneka kuna ushahidi wa kutosha wa wao kuushiriki katika tukio hilo, klabu itawapiga marufuku kuingia uwanjani maisha".walifafanua
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments