Yanga imetangaza kikosi chao kitakachocheza na timu ya BDF XI ya Bostwana hii leo usiku.
Mchezo huo ambao utapingwa hii leo majira ya saa 1:30 kwa saa za nchini humo, sawa na saa 2:30 kwa saa za Tanzania.
MSIKILIZE ZAIDI JERRY MURO AKITAJA KIKOSI
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .



0 Comments