Ticker

6/recent/ticker-posts

KOCHA JAMHULI KIHWELO "JULIO" ATUA COASTAL UNION (PICHA)

NA MWANDISHI WETU,TANGA. IMEWEKWA.Feb.25,2015 SAA 09:24 ALASIRI
Kocha Msaidizi wa Coastal Union,Jamhuri

Kiwelu "Julio"kulia akisisitiza jambo mazoezini jana mara baada ya
kuwasilia mkoani Tanga kuifundisha timu hiyo kushoto ni Kocha Mkuu
James Nandwa ,Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Coastal Union,Albert
Peter,Katibu Mkuu Coastal Union,Kassim El Siagi na Meneja wa Coastal
Union Akida Machai




Kocha Msaidizi wa Coastal Union ,Jamhuri

Kiwelu "Julio"akizungumza na viongozi wa Coastal Union mara baada ya
kuwasili mazoezini jana ,Picha kwa Hisani ya Coastal Union



KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments