Cristiano Ronaldo imenyakuwa taji la 2014 la tuzo ya Ballon d'Or baada ya jina lake kutajwa kama mchezaji bora duniani
kwa mwaka wa pili mfululizo.
kwa mwaka wa pili mfululizo.
Ronaldo mwenye umri wa miaka 29 aliwashinda Manuel Neuer na mpinzani wake wa kudumu Lionel Messi,na kutangazwa kushinda tuzo hiyo – ikiwa sasa ni mara ya 3 kwa mchezaji huyo.
Ronaldo kama mchezaji muhimu wa Real Madrid alishinda vikombe vinne katika mwaka wa kalenda uliopita , akifunga mabao 56 katika mechi 51 kwa mabingwa hao wa Uhispania, yaliyokusanywa katika Copa del Rey, Ligi ya Mabingwa, UEFA Super Cup na Club World Cup.
Matokeo ya kura:
Cristiano Ronaldo: 37.66%
Lionel Messi: 15.76%
Manuel Neuer: 15.72%.
Washindi wa Ballon d'Or 2014
Ballon d'Or: Cristiano Ronaldo
Mchezaji bora wa Dunia wa mwaka kwa Wanawake : Nadine Kessler
Tuzo ya bao bora la mwaka: James Rodriguez
Kocha wa mwaka kwa soka la wanaume: Joachim Low
kocha wa mwaka kwa soka la wanawake: Ralf Kellermann
World XI: Neuer; Lahm, Ramos, David Luiz, Thiago Silva; Di Maria, Iniesta, Kroos; Messi, Ronaldo, Robben .
Tuzo ya raisi wa FIFA: Hiroshi Kagawa
Tuzo ya mchezo wa haki ya FIFA: : FIFA volunteers
ANGALIA PICHA
Cristiano Ronaldo has been crowned with the 2014 Ballon d'Or award after a stellar 12 months
FIFA President Sepp Blatter (right) congratulates Ronaldo on winning the award
Ronaldo shows his emotions after beating Lionel Messi and Manuel Neuer to the coveted gong
Ronaldo (right) celebrates with his son Cristiano Jr on stage after winning the FIFA Ballon d'Or 2014
The maverick forward (left) poses with his award with FIFA Women's Player of the Year Nadine Kessler
Ronaldo was looking to win the award for a second successive year and the third-time in his career
Ronaldo (left) enjoys a selfie with Marta before the FIFA Ballon d'Or Gala on Monday evening
The Portugal superstar shakes hands with UEFA President Michel Platini before the gala
The 29-year-old played an integral role as Real Madrid won the Champions League last season
Ronaldo scored a staggering 56 goals in 51 appearances for Real as they won four trophies in 2014
Neuer (left) signs autographs on the red carpet ahead of the Ballon d'Or Gala on Monday evening
Neuer (left) was a mainstay in the Bayern team that won the Bundesliga and DFB Pokal Cup last season
The 28-year-old's brilliant year was completed by helping Germany to win the World Cup last summer
Messi (right) arrived on to the red carpet with his partner Antonella Roccuzzo
The diminutive superstar is mobbed by fans on the carpet as he signs autographs
Messi (centre right) captained Argentina to the World Cup final where they lost to Germany after extra-time
The 27-year-old (centre) scored 50 goals in 52 appearances for Barcelona last season
The trio were all included in the FIFPro World Team of the Year which is selected by their peers
0 Comments