Katika Champions League usiku wa leo Manchester City itapambana na Bayern Munich,lakini katika mkutano na
waandishi wa habari,kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini,aliulizwa swali na mmoja wa waandishi wa habai kwamba ni kwili kuwa timu yake ina mpango wa kumsajili nyota wa Barcelona Lionel Messi?
waandishi wa habari,kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini,aliulizwa swali na mmoja wa waandishi wa habai kwamba ni kwili kuwa timu yake ina mpango wa kumsajili nyota wa Barcelona Lionel Messi?
Manuel Pellegrini ilikanusha ripoti hizo zanazodai Manchester City wanaweza kujaribu bahati yao kwa kumsajili Lionel Messi nyota wa klabu ya Barcelona .
Kumekuwa na Uvumi hivi karibuni kuwa Messi mwenye umri wa miaka 27, pamoja na viongozi wa klabu yake ya nchi Uhispania kuwa hawako katika maelewano mazuri,licha ya Muargentina huyo kuibuka shujaa katika dimba la Nou Camp kwa kuvunja rekodi ya muda wote ya upachikaji wa mabao baada ya kufunga mabao 253 na kuweka histolia katika ligi ya La Liga.
Pellegrini alipoulizwa kuwa anataka kumsajili mchezaji huyo,alijibu: "uvumi ni uvumi tu".
Lakini akasisitiza kuwa "kitendo cha messi kuvunja rekodi hiyo, ni cha kipekee na kuna wachezaji wachache mno,ambao wanaweza kufikia kiwango chake".
Pellegrini aliongeza kwa kusema kuwa,Rekodi ya Messi inaonesha ni jinsi gani mchezaji huyo bado ni muhimu katika kikosi cha Barcelona.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments