Mhariri:Herman Kihwili IMEWEKWA.OCT.08,2014 SAA 03:04 USIKU
Kiungo wa Arsenal Mesut Ozil atakuwa nje kwa muda wa wiki 10 hadi 12 baada ya kuumia goti, kwa mujibu wa
shirikisho la soka nchini Ujerumani.
FA ya Ujerumani ilitangaza habari ya matokeo yake uchunguzi kwenye tovuti yao baada ya Ozil kukosa mazoezi ya awali kwa ajili ya maandalizi mchezo wao wa kufudhu kombe la Ulaya dhidi ya Poland na Jamhuri ya Ireland.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
kiungo huyo alicheza mchezo wa Jumapili ambapo Arsenal ilipigwa 2-0 na Chelsea - na ni mara yake ya sita katika mechi sita za Premier League akianza na kumaliza dakika zote 90.
Habari hii unakuwa pigo zaidi kwa Arsenal na bosi Arsene Wenger ambaye kikosi chake tayari kina majeraha kama Olivier Giroud, Mathieu Debuchy, Aaron Ramsey, Mikel Arteta na Theo Walcott.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments