Southampton wamemsajili mshambuliaji wa Italia Graziano Pelle kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka klabu ya
Feyenoord.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 ni mchezaji wa pili kusainiwa kusajiliwa na klabu hiyo baada ya Dusan Tadic kutoka FC Twente .
Feyenoord.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 ni mchezaji wa pili kusainiwa kusajiliwa na klabu hiyo baada ya Dusan Tadic kutoka FC Twente .
Signing on: Pelle has agreed a three-year contract at St Mary's and is re-united with former manager Ronald Koeman
Delighted: Ronaldo Koeman posted this message on Twitter after the deal was completed
Prolific: Pelle scored 27
New man: Southampton boss Ronald Koeman believes Pelle can replicate his form for Feyenoord and be a success in the Premier League times in 33 matches for Feyenoord last season
Pelle alifunga mabao 27 kwa klabu hiyo ya Rotterdam msimu uliopita na itakuwa ni mara yake ya pili kucheza chini ya kocha Ronald Koeman.
Najisikia furaha kuwa hapa nahatimaye kusajiliwa ," Pelle aliiambia tovuti rasmi ya klabu yake mpya .
ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments