Taasisi ya Kimataifa ya Ulinzi katika Michezo (ICSS) kutoka Uingereza inayohusika na kampeni dhidi ya upangaji
matokeo kwenye mpira wa miguu (match fixing) imefanya uwasilishaji (presentation) juu ya suala hilo kwa waandishi wa habari za michezo nchini jana (Julai 5 mwaka huu)
matokeo kwenye mpira wa miguu (match fixing) imefanya uwasilishaji (presentation) juu ya suala hilo kwa waandishi wa habari za michezo nchini jana (Julai 5 mwaka huu)
Waandishi wa habari za michezo wakiwa makini kusikiliza |
Mwandishi wa TV 1 |
Akizungumza na waandishi wa habari za michezo Mkurugenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Ulinzi katika Michezo (ICSS), Stuart Page amesema wako hapa kwa ajili ya kutoa elimu kuhusu Madhara ya upangaji wa matokeo, kwani tatizo hili ni la kila sehemu.
"Upangaji wa matokeo ni tatizo la Ulimwengu mzima,ni jukumu la kila mtu kutoa elimu juu ya madhara ya swala hili,kwani Upangaji wa matokeo uanzia toka Utotoni". alisema Stuart Page
Mkurugenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Ulinzi katika Michezo (ICSS), Stuart Page |
Stuart Page |
Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Salum Madadi akifafanua jambo |
Naye Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Salum Madadi amesema ni muda muafaka kwa waandishi kuibua tatizo la Upangaji wa matokeo kupitia taaluma zao,kwani ni fedhea na pia upangaji wa matokeo kunaua mchezo wa mpira wa miguu kwa Tanzania .
"Kwanza kabisa upangaji wa matokeo Una mdhurumu mtu haki yake,pili unaua vipaji, lakini pia kunamfanya mchezaji asiwe professional". alisema Madadi
Taasisi hiyo yenye kibali kutoka Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) katika utoaji elimu ya kubaini upangaji matokeo, vilevile inatoa elimu juu ya athari zinazopatikana kutokana na upangaji matokeo.
USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI, BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

0 Comments