Nyota wa Brazil Neymar atakosa michezo iliyobaki ya Kombe la Dunia baada ya kuvunjika mifupa wa nyuma ya
mgongo, kwa mujibu wa daktari wa timu Rodrigo Lasmar.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 , ambaye alikuwa amefunga mara nne na kuiongoza nchi yake kufika robo fainali, alitolewa nje akiwa amebebwa kwenye machela katika hatua ya mwisho kabisa katika mchezo ambao walishinda siku ya Ijumaa kwa mabao 2-1 dhidi ya Colombia na kupelekwa hospitali.
Agony: Neymar lies in agony after being kneed in the back just three mintues from the end
Stretchered off: Neymar is carried away by medics leaving all Brazilian fans in a state of panic
Carried away: Neymar was stretchered off the pitch and taken to hospital after Brazil's quarter-final win
Cynical: With the ball nowhere near Juan Zuniga smashes his knee into the lower part of Neymar's back
Na Lasmar aliviambia vyombo vya habari nchini Brazil kwamba Neymar hataweza kucheza hata kama wakifika katika fainali, kwani wanatarajia kuwa atapata ahueni angalau wiki nne zijazo.
'Siyo kubwa kwa maana ya kwamba haina haja ya upasuaji, lakini yeye itabidi afanyiwe marekebisho kwa kumuokoa,' aliliambia SportTV. 'Kwa bahati mbaya, hatakuwa na uwezo wa kucheza". alifafanua Daktari wa timu.
USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI, BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
Complaints: Defender Marcelo gesticulates as his team's star man lies prone on the ground in Fortaleza
Brazil will already be without the suspended Silva for the last-four showdown in Belo Horizonte.
Iced: Brazil's World Cup challenge will be significantly more difficult if they are without their key man
Concern: Colombian playmaker James Rodrigues shows sympathy to his opposite number
Kabla ya kutoka taarifa rasmi za Daktari wa timu,kocha wa Brazil Luiz Felipe Scolari alijipa moyo kwa kusema kwamba Neymar atakosa angalau hatua ya nusu fainali dhidi ya Germany wiki ijayo.
0 Comments