Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:SIKILIZA OMBI LA RAGE KWA AVEVA JUU YA WANACHAMA 65 WALIOSIMAMISHWA KWA MUDA,NA ALICHOKIJIBU EVANS AVEVA

Mhariri:Herman Kihwili IMEWEKWA.JUL.12,2014 SAA 11:40 ASUBUHI
Moja ya vitu ambavyo aliviahidi Rais mpya wa klabu ya simba Evans Avaeva wakati wa kampeni zake ni kuleta Umoja katika
klabu hiyo pindi atakapoingia madarakani.
Mh.Ismail Aden Rage (MB) ambaye amemkabizi rasmi madaraka Rais huyo mpya siku ya Ijumaa ya Tarehe 11 July 2014 akatumia fulsa hiyo ya kukabizi madaraka na kumkumbushia swala hilo na kumtaka Raisi huyo wa Simba kuishawishi kamati ya utendaji ya klabu hiyo,kuwasamehe wanachama 65 waliosimamishwa kwa muda kwa sababu ya kuipeleka klabu hiyo mahakamani.

ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

MSIKILIZE RAGE NA ALICHOKIJIBU EVANS AVEVA

Post a Comment

0 Comments