Ticker

6/recent/ticker-posts

HATIMAYE,LUIS SUAREZ AMPIGIA MAGOTI GIORGIO CHIELLINI,LAKINI CHIELLINI ASEMA...

Mhariri:Herman Kihwili IMEWEKWA.Jun.30,2014 SAA 05:07 USIKU
Suarez
Hatimaye Luis Suarez amemuomba radhi Giorgio Chiellini baada ya kumn'gata mlinzi huyo wa Italia katika Kombe la
Dunia.

Aibu hiyo iliyomkuta mshambuliaji huyo wa Uruguay ilimfanya apigwe marufuku kwa muda wa miezi minne na FIFA na kusimamishwa ziada mechi tisa za kimataifa baada ya tukio hilo .

Katika wiki hii kumekuwa na taarifa kwamba Barcelona wamefungua mchakato kwa nyota huyo wa Liverpool, na mshambuliaji wa zamani wa England Gary Lineker alidai kwamba Barcelona wamehusika kwa kiasi kikubwa kwa Suarez kuomba msamaha. 
Apology: Luis Suarez has finally expressed his regret for biting the Italian defender last week

Apology: Luis Suarez has finally expressed his regret for biting the Italian defender last week
Thumbs up: Luis Suarez gestures to fans from the balcony of his home, near Montevideo
Thumbs up: Luis Suarez gestures to fans from the balcony of his home, near Montevideo

Accident? Luis Suarez told FIFA he did not deliberately bite Giorgio Chiellini but fell on top of him
Accident? Luis Suarez told FIFA he did not deliberately bite Giorgio Chiellini but fell on top of him
Suggestion: Lineker says Barcelona may have forced the apology upon Suarez in order for a transfer to occur
Suggestion: Lineker says Barcelona may have forced the apology upon Suarez in order for a transfer to occur
Painful: Suarez fell to the ground and held his teeth straight after the encounter with centre back Chiellini
Painful: Suarez fell to the ground and held his teeth straight after the encounter with centre back Chiellini

Pamoja na awali kukana kuwa alikuwa amefanya makusudi kwa kumuuma Chiellini, Suarez alivunja ukimya akiwa nyumbani kwake  Montevideo ambapoa aliomba msamaha kamili kwa mchezaji huyo wa Italia.

Katika taarifa iliyotolewa kwenye tovuti yake binafsi, kisha kuweka katika twita yake, Suarez ambeye sasa yuko na familia yake ,amesema amekuwa muda wa kutulia na kutafakari juu ya ukweli wa kile kilichotokea wakati wa mechi ya Italia -Uruguay tarehe 24 Juni, 2014.

Suarez aliomba msamaha kwa Giorgio Chiellini pamoja na familia nzima ya mpira wa miguu.

Pia ameapa kwa umma kwamba, kamwe hataweza kurudia tukio jingine kama hilo.

Mlinzi wa Juventus Chiellini alijibu msamaha huo wa Suarez katika tovuti yake mwenyewe,na awali alisema adhabu hiyo ya kufungiwa miezi minne iliyotolewa kwa Suarez haikupaswa kuwa kali hivyo.
About time: Suarez has delayed his apology to Chiellini but has promised he will never behave like that again

About time: Suarez has delayed his apology to Chiellini but has promised he will never behave like that again
Accepted: Chiellini is yet to criticise Suarez, and instead says the ban should be reduced
Accepted: Chiellini is yet to criticise Suarez, and instead says the ban should be reduced

Katika hatua nyinginea Rais wa Uruguay Jose Mujica amewatukana maafisa wa FIFA kwa kuwaita ''kundi la watoto wa Mbwa'' au "a bunch of old sons of bitches".

Suarez alipata adhabu hiyo ambayo inasemekana kuwa kali sana kuwahi kutolewa katika hoistoria ya kombe la dunia kwa kumuua mchezaji wa Italia Giorgio Chiellini.

Rais Mujica mwenye miaka 79 ambaye inasemekana ndiye Rais masikini kuliko wote duniani, anasifika kwa kutotafuna maneo yake pamoja na ukali wa matamshi yake.

Aliyatoa matamshi yake kupitia televishini ya taifa alipokuwa anawapokea wachezaji wa timu hiyo baada ya kubanduliwa nje ya michuano ya kombe la dunia katika awamu ya muondoano.
Homeward bound: Luis Suarez waves to Uruguayan fans after he was banished from the World Cup in Brazil
Homeward bound: Luis Suarez waves to Uruguayan fans after he was banished from the World Cup in Brazil
Fury: Jose Mujica has called FIFA 'a bunch of old sons of b*****s' in an attack on football's governing body
Fury: Jose Mujica has called FIFA 'a bunch of old sons of b*****s' in an attack on football's governing body

Rais huyo alifunika mdomo wake kwa mshutuko wa kile alichosema , lakini wandishi wa habari tayari walikuwa wamemrekodi.Pia aliwaambia kuyachapisha matamshi yake alipohojiwa ikiwa alitaka kujirekebisha.

Rais huyo alisema kuwa FIFA ilimuadhibu Suarez kwa sababu ya maisha yake ya zamani ambayo yalikuwa ya unyonge.
Pia alitaja adhabu hiyo kama aibu kubwa sana kwa historia ya FIFA.

Outraged: Uruguay boss said banned Luis Suarez is a scapegoat and resigned from FIFA's technical committee
Outraged: Uruguay boss said banned Luis Suarez is a scapegoat and resigned from FIFA's technical committee

USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI, BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments