Siku ya Jana Jumapili ndio mashindano ya Bball kitaa yamefikia tamati kwa mabingwa watetezi East Zone 4 ambayo inajumuisha Temeke,Mbagala ,kurasini na Tandika kuibuka na ushindi katika Fainali ya pili kwa jumla ya alama
67 kwa 60 dhidi ya West Zone 3 ambayo inajumuisha Mwananyamala,kinondoni na magomeni,mchezo ulipingwa katika viwanja vya gymkhana jijini Dar es Salaam.
East Zone 4 wamepata fedha taslimu milioni 2 na laki 4.
ANGALIA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI67 kwa 60 dhidi ya West Zone 3 ambayo inajumuisha Mwananyamala,kinondoni na magomeni,mchezo ulipingwa katika viwanja vya gymkhana jijini Dar es Salaam.
East Zone 4 wamepata fedha taslimu milioni 2 na laki 4.
![]() |
| DON BOSCO LIONESSS (Wasichana) ambao ni washindi wa mashindano ya muungano Cup,walikuwepo kutoa neno la Shukrani |
![]() |
| Walinda usalama |
![]() |
| BBALL KITAA BBOYZ |
![]() |
| Matokeo ya mwisho |
![]() |
| Wachezaji wa East Zone 4 wakisaini mpira baada ya ushindi |
![]() |
| Karabani akimkabizi kikombe mchezaji wa East Zone 4 Murshid Mudricat |
![]() |
| Karabani akimkabizipesa za ushindi mchezaji wa East Zone 4 Murshid Mudricat |
![]() |
| MVP |
![]() |
| Millard Ayo akifanya mahojiano na Ruben Ndege(Ncha kali) |
![]() |
| Mudricat akiwakilisha East Zone 4 katika Dinner celebration |
USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI, BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)





























0 Comments