Huwa inatokea kwa baadhi ya viongozi wa nyazifa mbalimbali au watu maalufu duniani kuwashangaza watu wa
kawaida kwa kuibuka na kujichanganya nao.
Hii imetokea huko Mjini Washington DC siku ya jana,kwa Rais wa marekani Barack Obama kutokeza katika mitaa hiyo tena akitembea kwa miguu pasipo kuwa na wasiwasi,na wengine kusalimiana nao na kupiga picha.
ANGALIA VIDEO
0 Comments