Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.May. 19,2014 SAA 12:10 JIONI
Unaweza kukumbuka tangazo la Samsung ambalo lilitoleawa miezi kadhaa iliyopita ambalo lilikusanya
wachezaji bora 13 duniani na kuwaweka katika tangazo moja?.Na sasa ni zamu ya team GALAXY11 kwa kuwahusisha katika tangazo la biashara yao nyota kama Cristiano Ronaldo,Wayne Rooney,Lionel Messi na Iker Cassillas pamoja na wengine.
ANGALIA VIDEO
0 Comments