Ticker

6/recent/ticker-posts

SAMIR NASRI WA MANCHESTER CITY NJE KATIKA KIKOSI CHA UFARANSA CHA KOMBE LA DUNIA,NA VIPI KUHUSU BENZEMA NA RIBERY ?

Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.May. 13,2014 SAA 05:44 USIKU
Kiungo wa Manchester City Samir Nasri hajaitwa katika kikosi cha Ufaransa kitakachoshiriki  Kombe la Dunia msimu
huu.

Nasri, ambaye alicheza mechi 41 na kikosi hiko, hawajawekwa hata katika Orodha ya wachezaji saba ambao wangeitwa wakati wowote patakapotokea tatizo.


France squad:

Goalkeepers: Hugo Lloris (Tottenham Hotspur), Steve Mandanda (Olympique Marseille), Mickael Landreau (Bastia)
Defenders: Mathieu Debuchy (Newcastle United), Lucas Digne (Paris St Germain) Patrice Evra (Manchester United), Laurent Koscielny (Arsenal), Eliaquim Mangala (Porto), Bacary Sagna (Arsenal), Mamadou Sakho (Liverpool), Raphael Varane (Real Madrid)
Midfielders: Yohan Cabaye (Paris St Germain), Clement Grenier (Olympique Lyon), Blaise Matuidi (Paris St Germain), Rio Mavuba (Lille), Paul Pogba (Juventus), Moussa Sissoko (Newcastle United), Mathieu Valbuena (Olympique Marseille)

Forwards: Karim Benzema (Real Madrid), Olivier Giroud (Arsenal), Antoine Griezmann (Real Sociedad), Loic Remy (Newcaste United), Franck Ribery (Bayern Munich)

Post a Comment

0 Comments