Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.APR. 27,2014 SAA 03:57 USIKU
Chelsea imeweza kuondoka na ushindi ugenini dhidi ya Liverpool baada ya kikosi hiko kinachoongozwa na kocha Jose Mourinho
kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2 kwa 0 .
kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2 kwa 0 .
Mabao mawili ya Chelsea yaliyofungwa na Demba Ba dakika ya 45 na Willian katika dakika ya 90 ,yalitosha kabisa kukifanya kikosi cha Chelsea kusogelea uongozi wa ligi kuu.
Kwa sasa Chelsea ina pointi 78 baada ya kucheza mechi 36 sawa na Liverpool inayoongoza kwa pointi zake 80,ikifuatiwa na Manchester City yenye pointi 77 baada ya kuichapa Crystal Palace hii leo mabao 2 kwa 0.
Liverpool: Mignolet 7, Johnson 7.5, Skrtel 7.5, Sakho 6.5, Flanagan 6.5 (Aspas 81), Lucas 5.5 (Sturridge 58), Gerrard 7, Allen 7, Sterling 5, Suarez 5, Coutinho 5.
Subs: Brad Jones, Toure, Agger, Alberto, Cissokho.
Manager: Brendan Rodgers 6.5
Chelsea: Schwarzer 7, Azpilicueta 8, Ivanovic 8.5, Kalas 8, Cole 8, Mikel 8, Matic 9, Salah 6 (Willian 60), Lampard 7, Schurrle 7 (Cahill 77), Ba 7.5 (Torres 84)
Subs: Van Ginkel, Ake, Hilario, Baker.
Manager: Jose Mourinho 8.5
Goal: Ba 45, Torres 90
Booked: Lampard, Salah, Torres, Cole
Referee: Martin Atkinson (W Yorkshire)
Attendance: 44,726
England - Premier League | |||
---|---|---|---|
FT | 4 - 0 | ||
FT | 0 - 2 | ||
FT | 0 - 2 |
0 Comments