Ticker

6/recent/ticker-posts

LIGI YA MABINGWA:MAN CITY HOI KWA BARCELONA,YAPIGWA MBILI BILA,PSG YAPATA USHINDI WA KUMWAGA IBRAHIMOVIC AONGOZA MASHAMBULIZI

Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA FEB. 19,2014 SAA 07:12 USIKU

FT Bayer Leverkusen 0 - 4 Paris Saint Germain
Mabao ya PSG yalifungwa na Blaise Matuidi Dk.3,na Zlatan Ibrahimovic alifunga mabao mawili moja kwa mkwaju wa penalti 39 na bao lingine Dk.42.
Bao la nne limefungwa na Yohan Cabaye Dk 88.
 
kwa upande wa Leverkusen, Emir Spahic alitolewa nje kwa kadi ya pili ya njano


Bayer Leverkusen: Leno, Hilbert, Spahic, Toprak, Guardado, Bender, Rolfes, Castro, Sam, Kiessling, Son.
Subs: Yelldell,Reinartz, Wollscheid, Hegeler, Oztunali, Boenisch, Brandt.
PSG: Sirigu, Van Der Wiel, Alex, Thiago Silva, Maxwell, Verratti, Thiago Motta, Matuidi, Lucas Moura, Ibrahimovic, Lavezzi.
Subs: Douchez, Cabaye, Marquinhos, Menez, Digne, Rabiot, Pastore.
Referee: Viktor Kassai (Hungary)


The opener: Messi wheels away in celebration of the first goal as Joe Hart vents his frustration
Barcelona wao wameondoka na ushindi wa mabao 2 kwa 0 dhidi ya Manchester City katika mchezo uliopingwa katika uwanja wa Etihad.
 
Mabao ya Barcelona yalifungwa na Lionel Messi kwa mkwaju wa penalti Dk.54 baada ya kufanyiwa madhambi na Martin Demichelis ambaye alitolewa kwa kadi nyekudu katika eneo la hatari. 
 
Bao la pili lilipatikana katika Dk.90 kupitia kwa Daniel Alves.
 
Man City: Hart, Zabaleta, Kompany, Demichelis, Clichy, Navas, Toure, Fernandinho, Kolarov, Silva, Negredo
Subs: Pantilimon, Lescott, Richards, Garcia, Nasri, Jovetic, Dzeko
Sent off: Demichelis 53
Barcelona: Valdes, Alves, Piqué, Mascherano, Alba, Sergio, Xavi, Cesc, Alexis, Messi, Iniesta
Subs: Pinto, Bartra, Adriano, Song, Sergi Roberto, Pedro, Neymar
Goals: Messi pen 54, Alves 90. 

Post a Comment

0 Comments