Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA FEB. 18,2014 SAA 04:02 USIKU
![]() |
Picha na mtandao wa Azam Fc |
Mara baada ya kurejea jijini Dar es salaam jana usiku,kikosi cha Azam Fc kinatarajia kuweka kambi kesho(19 Feb.2014) ili kujiandaa na mechi yao ya Ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Ashanti United.
Akiiambia Jamii na Michezo kuhusu
michuano ya kombe la shirikisho ambayo wametolewa,msemaji wa Azam Fc
Jafary Iddy amesema kuwa mpaka sasa hawajabaini mapungufu yoyote katika
timu yao.
BOFYA PLAY KUSIKILIZA ZAIDI
0 Comments