Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA FEB. 20,2014 SAA 08:50 USIKU
Michuano ya Ligi ya mabingwa kwa vilabu vya ulaya hatua ya 16 imeendelea kwa usiku wa kuamkia hii leo kwa michezo miwili
iliyopigwa katika viwanja viwili tofauti.
Michuano ya Ligi ya mabingwa kwa vilabu vya ulaya hatua ya 16 imeendelea kwa usiku wa kuamkia hii leo kwa michezo miwili
iliyopigwa katika viwanja viwili tofauti.
Mshambuliaji wa Atletico Madrid Diego Costa akirika kujaribu mashambulizi |
Ac Milan walikuwa akiikalibisha Atletico Madrid katika uwanja wa Giuseppe Meazza, na matokeo ya mchezo huo Atlético de Madrid wameondoka na ushindi wa bao 1 kwa 0,bao pekee lililopachikwa nyavuni na mchezaji ambaye alikuwa anatakiwa kwa udi na uvumba na klabu ya Chelsea katika dirisha la usajili, Diego Costa katika Dk 83.
Nyuma yenu: Kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone akitoa maelekezo |
C Milan:
Abbiati, De Sciglio, Bonera, Rami, Emanuelson, Essien, De Jong, Poli,
Kaka, Taarabt, Balotelli. Subs: Amelia, Mexes, Pazzini, Abate, Constant,
Zaccardo, Petagna.
Atletico Madrid:
Courtois, Juanfran, Miranda, Godin, Insua, Turan, Mario Suarez, Gabi,
Koke, Raul Garcia, Diego Costa. Subs: Aranzubia, Adrian, Villa,
Rodriguez, Alderweireld, Sosa, Diego.
Referee: Pedro Proenca (Portugal)
Macho na masikio ya wengi yalikuwa katika uwanja wa Emirate ambapo Arsenal walikuwa wakiialika FC Bayern München, na mabingwa hao watetezi wa kombe hilo FC Bayern München wakaibuka na ushindi wa mabao 2 kwa 0.
Timu zote mbili zilikosa penalti,na wa kwanza kupiga walikuwa ni Arsenal,baada ya Jerome Boateng kumkwatua hadi chini Mesut Ozil ndani ya boksi, Mjerumani Ozil akaenda kupiga penalti lakini golikipa Manuel Neuer akaokoa mkwaju huo.
Na kipa wa Arsenal Szczesny alitolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumchezea vibaya Robben katika eneo lake, na kufanya timu hiyo kumbadili Santi Cazorla kwa golikipa wa akiba Lukasz Fabians ili kuziba nafasi hiyo.
Penalti ikaamuliwa ipigwe kwa Timu ya Arsenal,lakini mchezaji wa Bayern München David Alaba alikosa penalti hiyo kwa kupiga pembeni.
Mabao ya FC Bayern München yalifungwa na Toni Kroos Dk.54 na Thomas Müller Dk 88.
Toni Kroos akipachika goli la kwanza |
Adhabu :Mesut Ozil akipelekwa chini katika sanduku baada ya changamoto na Jerome Boateng |
Hakuna nafasi:Jerome: beki wa Bayerna akilinda lango lao |
Ozil akipiga penalti lakini alikosa |
Si nzuri ya kutosha: Lakini kipa Manuel Neuer alifanikiwa kuitoa penalti dhaifu ya Ozil |
ARSENAL (4-2-3-1)
Szczesny
5; Sagna 7, Mertesacker 7, Koscielny 7.5, Gibbs 5.5 (Monreal 31);
Flamini 6.5, Wilshere 6.5; Oxlade-Chamberlain (Rosicky 74) 6.5, Ozil 6,
Cazorla 5 (Fabianski 39); Sanogo 6.5
Subs not used: Podolski, Giroud, Jenkinson, Gnabry
Booked: Rosicky, Sanogo
Sent off: Szczesny
Manager: Arsene Wenger 6
BAYERN MUNICH (4-3-2-1)
Neuer
7; Lahm 7, Boateng 5.5 (Rafinha 46), Dante 6.5; Alaba 6.5; Martinez 7,
Alacantara 7.5, Robben 7.5, Kroos 8, Gotze 6.5; Mandzukic 7
Subs not used: Starke, Van Buyten, Rafinha, Pizarro, Muller, Contento, Schweinsteiger
Goals: Kroos 54, Muller 88
Booked: Boateng, Mandzukic
Manager: Pep Guardiola 7
Man of the match: Kroos
Referee: Nicola Rizzoli 8
Hatari: Winga wa Bayern Arjen Robben (katikati) akidhibitiwa kupita na kipawa Arsenal |
Lakini kipa wa Arsenal Wojciech Szczesny alimuweka chini nyota huyo wa Uholanzi chini baada ya kuruka juu |
Kukaa chini: Robben akiugulia maumivu |
Nenda nje:kipa Szczesny akitolewa na mwamuzi Nicola Rizzoli kwa kumuangusha Robben katika eneo lake la hatari |
wachezaji Arsenal wakipinga adhabu dhidi ya Szczesny yakutolewa nje kwa kadi nyekundu |
Santi Cazorla (kulia) akifanya mabadiliko kwa kipa Lukasz Fabianski |
Kusubiri kwa muda mrefu: David Alaba akisubiri kupiga penalti yake wakati Arsenal akifanya mabadiliko yao |
Alaba (kushoto) ikisukuma nje shuti lake na kuwa mchezaji wa pili kukosa penalti |
Sauti za Mauzi zilisikika: Mashabiki wa Bayern walisafiri kutoka ujerumani hadi katika uwanja wa Emirates England kwa ajili ya kuishangilia timu yao |
Shabiki Mwingine wa Bavaria alikuja na kengele kubwa ya ng'ombe katika uwanja |
0 Comments