Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA FEB. 27,2014 SAA 12:02 JIONI
Kocha Jose Mourinho amekanusha taarifa kuwa amependekeza kuungana na mkongwe wa Inter Milan Javier Zanetti katika klabu
ya Chelsea.
ya Chelsea.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 40 , ambaye alihamia San Siro mwaka 1995, alifanya
kazi chini ya Mourinho kwa miaka miwili katika klabu ya Internazionale.
kumekuwa na uvumi kwamba kocha huyo wa Kireno ametoa ofa ya kumleta mchezaji huyo katika klabu hiyo ya magharibi ya London,ili MuArgentina huyo aweze kujiunga na
wafanyakazi wa safu ya benchi la ufundi kwa mwaka 2014-15 kabla ya kampeni ya kuchukua nafasi, ndani
ya vyumba vya ndani vya timu kwa msimu unaofuata.
Aliwaambia Sky Sport Italia: "si kweli kuwa tumetoa ofa kwa Zanetti.
"Ni vigumu kumfikiria yeye katika klabu nyingine yoyote zaidi ya
Nerazzurri. Hakuna mantiki kumpeleka nje ya Inter kwa sababu yeye atabaki
huko milele."
Inawezekana kwamba Mourinho anaweza kufanya kazi na Zanetti tena katika siku zijazo, ingawa, meneja huyo wa zamani wa Porto na Real Madrid anakataa kuweka bayana mipango yao hiyo ya pili na uongozi wa Inter.

0 Comments