IMEWEKWA JANUARI 13,2014 SAA 0:21 USIKU
Hans Van Der Plyum ameingia mkataba wa kuinoa Young Africans kuanzia siku ya jumatatu Jan.13 na moja kwa moja siku ya tarehe 14 mchana ataungana na wachezaji wake waliopo
nchini Uturuki kwenye
kambi ya mafunzo ya wiki mbili kujiandaa na
mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom na mashindano ya kimataifa
baadae.
Kocha huyo mwenye mafanikio makubwa nchini Ghana aliwasili nchini
Tanzania juzi na leo kumalizana na uongozi wa klabu ya Young Africans
kisha usiku huu kuanza safari ya kuelekea nchini Uturuki kuungana na
timu yake mpya ambayo ipo katika kambi ya mafunzo kwenye jiji la
Antlaya.
Uongozi wa Young Africans umefikia hatua hiyo baada ya
kuridhika na wasifu na rekodi yake na kuwa kocha pekee aliyeweza
kuushawishi uongozi na kumpa kazi kutoka katika maombi mengi ambayo
yalikuwa yametumwa na yakiendelea kumiminika kuomba ajira katika klabu
kongwe nchini Tanzania.
Kuajairiwa kwa mholanzi Hans Van Der Plyum
kunafunga mjadala juu ya nani anakua mrithi wa Ernie Brandts ambaye
alisitishiwa mkataba wake mwishoni mwa mwaka jana na kumalizana na
uongozi wa klabu ya Yanga kabla ya kurejeja kwao nchini Uholanzi.
Akiongea
na mtando rasmi wa klabu ya Young Africans SC mwenyekiti wa kamati ya
mashindano Abdallah Bin Kleb amesema kwa pamoja wamekubaliana baada ya
kurizika na uwezo na rekodi yake ambayo wanaamini itasaidia kuipeleka
timu katika hatua nyingine.
Sisi tumeamua kuingia mkataba na kocha
Van der Plyum ili aweze kuisaidia timu yetu kutoka katika hatua iliyo
na kwenda mbele zaidi, mtazamo wetu mkubwa ni katika mashindano ya
kimataifa hasa Klabu Bingwa kwa kushirikiana na kocha msaidizi mzoefu
mwenye elimu ya juu pia ya ukocha nchini Mkwasa tunaamini tufanya vizuri
katika Ligi Kuu na Klabu Bingwa Afrika.
Aidha Hans Van der Plyum
amesema anashukru uongozi wa Young Africans kwa kumuamini na kumpa
nafasi hyo na kuahidi kwa kushirikiana na kocha Mkwasa na Pondamali
ambao atakutana nao Uturuki watakiimarisha kikosi na pindi kitaporejea
nchini kitakua katika hali nzuri na kucheza soka safi.
Pia kocha
huyo mholanzi amesema anamjua vizuri kocha mkuu wa Simba SC Zdravko
Logarusic kwani mwaka 2011 alikua akifundisha timu ya Ashanti Gold SC
nchini Ghana na walipokutana katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya timu
yake ya Berekum Chelsea aliweza kuibuka mbabe kwa kuifunga timu ya
Ashanti mabao 4-0.
CAREER DETAILS
Playing Career
• 18 year goalkeeping career in Eredivisie (Dutch Premier League) and Dutch First Division
• 1965-1967 Wilhelmina SC
• 1967 – 1985 Den Bosch FC
• 1971 Goalkeeper of Dutch National Under-23 Team
Trainer/Coach
• Dutch Eredivisie and First Division
Head Coach:
FC Den Bosch (1993 -1997), Excelsior Rotterdam (1997 – 1998)
Youth/Reserve Team Coach and Assistant First Team Coach:
FC Den Bosch (1990 – 1993)
• Ghana Premier League
(Ashanti Goldfields SC [Now AshantiGold](1998-2001, 2004 -2005), Heart of Lions FC (2002-2003, 2006 – 2007 2010 –2011) , Kessben FC (2008 – 2009) Berekum Chelsea (2011 current team).
• Ethiopia Premier League
St. George FC (2003 -2004)
•CAF Champions League
St George FC, Ethiopia (2003-2004)
• CAF Confederation Cup
Ashanti Goldfields SC, Ghana (1999-2000)
• Football Academies
Red Bull Academy 2007 – 2008)
Feyenoord Academy (2009 – 2010)
QUALIFICATION AND COMPETENCY DETAILS
• UEFA License A. - Certificate Team building. - CAF License B.
• Fluent in Dutch and English
• Experienced with different cultures and religions
ACHIEVEMENT AND AWARD DETAILS
• Total Career: 500+ matches for FC Den Bosch in the Dutch National League
• League Cup Final (1993 – 1994) – FC Den Bosch
• Promotion to Dutch Premier League (1994-1995) – FC Den Bosch
• Promotion to the Ghana Premier League (2002 – 2003) – Heart of Lions FC
• Ethiopian Super Cup Winner (2004 – 2005) – St George FC
• CAF Champions League Qualification (2004 – 2005) – St George FC, Ethiopia
• Two-time Qualifier – CAF Confederation Cup (1998 – 2001) – Goldfields SC, Ghana
• CAF Champions League Qualification (2006 – 2007) – Heart of Lions FC, Ghana
• Runners Up – GHALCA Top Four Competition (2006 – 2007) – Heart of Lions FC, Ghana
• Awarded Best Coach in Ghana Premier League (2006 – 2007)
• Awarded Honourary Membership (1992) – FC Den Bosch
• Enzo Ferrari International Youth (Under-18) Tournament Winner in Modena, Italy (1998) – with Shizuoka FC, Japan
• Runners-Up - International Under-17 Tournament for Professional Teams in Tiel, Netherlands 2009) – Feyenoord Academy, Ghana
• Winners - International Under-17 Tournament for Professional Teams in Groesbeek, Holland (2009) – Feyenoord Academy, Ghana
• Loyalty and Sportsmanship Award by the Dutch Football Association for Silver Jubilee (25 years) with FC Den Bosch, Holland
• Supporters Player of the year Award – FC Den Bosch, Holland
Recent Coaching Details
• Winners – President’s Cup (Ghana), June 2012 (with Berekum Chelsea FC)
• Ongoing campaign in the final group stages (Money Zone) of the 2011/2012 CAF Champions League with Berekum Chelsea FC [Group B with Al-Ahly (Egypt),
Zamalek (Egypt) and TP Mazembe (DR Congo)].
Chanzo:youngafricans.co.tz
0 Comments