Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA NOVEMBA 7.2013 SAA 9:29 USIKU
Kiungo wa Barcelona Xavi amevunja rekodi ya mkongwe wa Real Madrid Raul ya ushindi katika ligi ya mabingwa kufuatia ushindi
wa 3-1 dhidi ya AC Milan siku ya jumatano.
Lionel
Messi alifunga kwa penalti dakika ya 30 kabla Sergio Busquets kufunga bao la pili dakika ya 39 ', ingawa Gerard Pique alijifunga mwenyewe katika dakika ya 45,lakini messi akaingia nyavuni tena dakika ya 83.
Messi akifunga bao lake la pili katika mchezo |
Mchezaji wa Barcelona Sergio Busquets akifunga bao la pili |
Jicho jicho! Neymar (kushoto) akimkonyeza Lionel Messi |
Super wazimu: Mario Balotelli akifoka katika kipindi cha pili baada ya kujaribu na kufanya tofauti |
Kijana kutoka Brazil: Robinho (kushoto) akipambana na mchezaji wa Barcelona beki Gerard Pique ambaye alijifunga |
Xavi ambaye ni nahodha kutokana na kukosekana kwa Carles Puyol ,amecheza mechi yake ya 141 (ikiwa ni pamoja na mechi za kufuzu ) katika
mashindano ya wasomi wa Ulaya.
Akiba wasiotumika: Pinto, Montoya, Bartra, Tello
Kadi ya njano: Sanchez
Wafungaji: Messi (30', 83'), Busquets (40')
Kikosi cha AC Milan: Abbiati; Abate, Zapata, Mexes, Emanuelson; Muntari, Montolivo, De Jong, Poli (Birsa 74'); Kaka (Matri 84'), Robinho (Balotelli 46')
Akiba wasiotumika: Coppola, Constant, Bonera, Zaccardo
Kai za njano: Abate, De Jong, Muntari
Mfungaji: Pique (og 45')
Refa: Milorad Mazic (Serbia)
VIDEO YA MABAO
Played
November 6, 2013 7:45 PM GMT
Stamford Bridge — London
Referee: S. Moen
Attendance: 41194
November 6, 2013 7:45 PM GMT
Stamford Bridge — London
Referee: S. Moen
Attendance: 41194
31′
Eto'o
54′
Eto'o
83′
Demba Ba
haraka haraka: Samuel Eto'o alizuia mpira uliotaka kupigwa na kipa wa Schalke 04 Timo Hildebrand na kutoa kibali kwa Chelsea |
jinsi ilivyokuwa |
Kuheshimiana kuthaminiana: Eto'o akisherehekea na meneja wa Chelsea Jose Mourinho baada yakufunga bao la ujanja |
Ba akisherehekea bao lake dakika sita tu baada ya kuja akitokea benchi |
Rafael Nadal akichukua picha kwenye uwanja wa Stamford Bridge kabla ya mchezo kuanza |
Kuangalia kwa makini: Djokovic akiangalia mechi ya Chelsea na Schalke |
Kicheko: Nyota wa tenisi Novak Djokovic akicheka na rafiki yake katika uwanja wa Stamford Bridge |
VIDEO YA MABAO
Kocha: Mourinho 7
Akiba wasioyumika: Cole, Luiz, Mata, Schwarzer
Wafungaji: Eto'o 31, 54, Ba 83
Kocha: Keller 6
Akiba wasiotumika: Fährmann, Hoogland, Santana, Ayhan
Kadi za njano: Draxler, Uchida, Jones
Refa: Svein Oddvar Moen 6
Man of the match: Ramires
Waliohudhulia: 40,000
Played
November 6, 2013 7:45 PM GMT
Signal-Iduna-Park — Dortmund
Referee: B. Kuipers
Attendance: 65829
November 6, 2013 7:45 PM GMT
Signal-Iduna-Park — Dortmund
Referee: B. Kuipers
Attendance: 65829
Aaron Ramsey
62′
Ushujaa: Ramsey akifunga kwa kichwa na kupeleka machungu kwa Borussia Dortmund ambao walikuwa nyumbani |
baridi: Kocha wa Dortmund Jurgen Klopp sasa yuko katika hatari ya kufuzu kutoka hatua ya makundi |
Mashabiki mashuhuri wa Dortmund wakiwa tuliiiii |
Naye yumo: Wenger akizuia mpira uliotoka |
Dole gumba:Kijana wa Arsenal Benik Afobe (kulia) ali tweeted picha hii wakiangalia mchezo jijini London na majeruhi Jack Wilshere |
Kadi ya njano: Lewandowski.
Kocha: Jurgen Klopp 6.
Akiba wasiotumika: Fabianski, Jenkinson, Gnabry, Hayden.
Kadi ya njano: Arteta
Mfungaji: Ramsey 62.
Kocha: Arsene Wenger 8.
Refa: Bjorn Kuipers (Holland)
Waliohudhulia: 65,829.
Played
November 6, 2013 7:45 PM GMT
Estadio Vicente Calderón — Madrid
Referee: I. Vad II
Attendance: 29841
November 6, 2013 7:45 PM GMT
Estadio Vicente Calderón — Madrid
Referee: I. Vad II
Attendance: 29841
Played
November 6, 2013 7:45 PM GMT
Stadio San Paolo — Napoli
Referee: S. Karasev
Attendance: 39148
November 6, 2013 7:45 PM GMT
Stadio San Paolo — Napoli
Referee: S. Karasev
Attendance: 39148
22′
Gökhan Inler
André Ayew
10′
24′
Gonzalo Higuaín
Florian Thauvin
64′
75′
Gonzalo Higuaín
Played
November 6, 2013 7:45 PM GMT
Amsterdam ArenA — Amsterdam
Referee: D. Aytekin
Attendance: 59908
November 6, 2013 7:45 PM GMT
Amsterdam ArenA — Amsterdam
Referee: D. Aytekin
Attendance: 59908
51′
Lasse Schöne
Played
November 6, 2013 7:45 PM GMT
St. Jakob-Park — Basel
Referee: Olegário Manuel Benquerenca
Attendance: 30704
November 6, 2013 7:45 PM GMT
St. Jakob-Park — Basel
Referee: Olegário Manuel Benquerenca
Attendance: 30704
90+1′
Giovanni-Guy Yann Sio
Federico Piovaccari
17
Played
November 6, 2013 5:00 PM GMT
Stadion Petrovskij — Sankt-Peterburg (St. Petersburg)
Referee: T. Hagen
Attendance: 17786
November 6, 2013 5:00 PM GMT
Stadion Petrovskij — Sankt-Peterburg (St. Petersburg)
Referee: T. Hagen
Attendance: 17786
28′
Hulk
Lucho González
23′
0 Comments