Mwandishi wa kituo cha Itv /Radio One Ufoo Saro amepigwa risasi nyumbani kwao eneo la Kibamba jijini Dar es salaam na
kukimbizwa kwa matibabu ya haraka katika hospitali ya taifa ya Muhimbili,ambapo katika tukio hilo mama yake mzazi na ufoo saro ameuawa kwa kupigwa risasi huku mhusika aliyefanya tukio hilo naye amejiua kwa kujipiga risasi kichwani.

TAZAMA VIDEO YA TAHARIFA KUTOKA ITV
.jpg)
0 Comments