Ticker

6/recent/ticker-posts

PICHA YA SIKU:ETO'O AKIWA AMEWASILI NCHINI TUNISIA KUJIUNGA NA WENZAKE

 IMEWEKWA OCT. 11,2013 SAA 3:21USIKU
Tunisia itacheze na Cameroon jijini Tunis siku ya jumapili katika Mchuano wa soka wa mzunguko wa mwisho baina ya mataifa ya
Afrika kutafuta nafasi ya kufuzu katika kombe la dunia nchini Brazil mwaka ujao.


Post a Comment

0 Comments