Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA SEPT 24,2013 SAA 10:29 ALFAJIRI
 Katika sura: Gianfranco Zola (kushoto) na Paul Ince waliojitokeza kama wagombea kuchukua nafasi katika klabu ya  Sunderland. 
Gianfranco Zola na Paul Ince wamejitokeza kama wagombea kuchukua  nafasi katika klabu ya Sunderland.
Uongozi wa klabu hiyo ulifanyika  mkutano wa dharura na bodi ya 
klabu hiyo siku ya Jumatatu baada ya uamuzi wa kumfungishia virago  Paolo Di Canio.|  | 
| 
Bye bye:Paolo Di Canio ametemwa na uongozi wa klabu ya Sunderland kufuatia kuanza vibaya katika  msimu wa Ligi Ku.  | 
Kocha wa Watford, Zola 
na bosi wa  Blackpool  Ince wanaeleweka kuwa miongoni mwa wale  wanaolijadiliwa na wana uwezo wa kuchukua nafasi ya kocha huyo kutoka  Italia.
Roberto Di Matteo, Neil Lennon na Gus Poyet pia wametajwa  katika orodha ya watu wanaotabiliwa kuchukua kazi hiyo ya ukocha ndani ya  Sunderland jana.
|  | 
| 
Kukalia kiti cha moto:Kevin Ball ameteuliwa kuwa kocha wa mda  wa  Sunderland baada ya Di Canio kutupiwa virago.  | 
Jamii na Michezo inaelewa kwamba mawasiliano ya awali tayari yamepatikana na Di Matteo 
na wawakilishi wake.  Sunderland inatarajiwa kucheza na  Peterborough United katika raundi ya tatu ya Kombe la Capital One leo Jumanne.


 
 
0 Comments