Ticker

6/recent/ticker-posts

SIMBA KUWAPELEKA KIZIMBANI WALE WOTE WANAOIHIJUMU KLABU

IMEWEKWA SEPT 4,2013 SAA 11:40 JIONI
UONGOZI WA mabingwa wa zamani wa ligi wekundu wa msimbazi simba umesema kuwa utachukua hatua kwa yeyote atakayekamatwa anauza bidhaa zenye nembo ya Simba bila kufuata Sheria.
Lundo la jezi feki za simba zilizokamatwa

Akizungumza jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa baraza la

wadhamini Hamisi Kiromoni amesema kuwa kuna watu
wanafanyabiashara bila kuwa na ridhaa ya Simba na kujipatia pesa zinazowanufaisha.
Naye Insepekta wa Jeshi la Polisi Mohamed Manyae amesema watasimamia bega kwa bega kuhakikisha wanakamata waalifu.

Post a Comment

0 Comments