Ticker

6/recent/ticker-posts

RASMI:SUAREZ AJIUNGA NA BARCELONA

Kinda kutoka  Manchester City Denis Suarez amejiunga na klabu ya  Barcelona kwa ada isiyojulikana.
Wajina wa Suarez:kinda anaye chipukia Denis Suárez Fernández amejiunga na Timu B ya Barselona
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka19, ambaye aliisaidia nchi yake ya uhispania kufikia katika  hatua ya robo fainali ya FIFA ya kumbe la dunia  Chini-20 katika  majira ya joto,ataungana na timu B ya Barcelona.
nyota wa baadaye
Suarez amecheza  mechi mbili na timu City kipindi akiwa  nchini Uingereza katika Kombe la Ligi. 
 

Post a Comment

0 Comments