Mabao
mawili kutoka kwa Lukas Podolski katika dakika ya 41 na 68 na moja kutoka Olivier Giroud dakika ya 14 ya kipindi cha kwanza,yaliwawewezesha
Arsenal kutoka na ushindi mzuri dhidi ya Fulham na kuinua matumaini wa kwa mashabiki wa Arsenal baada ya kufungwa na Aston Villa siku ya jumamosi iliyopita katika ufunguzi wa ligi kuu.
![]() |
| Ushindi raha sana:Arsenal wamefufua matumaini kwa mashabiki wao baada ya kushinda ugenini |
Bao la pekee la kufutia machozi la Fulham liliwekwa nyavuni na
Darren Bent katika dakika ya 77![]() |
| Olivier Giroud akifunga bao la kwanza |
![]() |
| Lukas Podolski akipachika bao la pili kabla ya apumziko |
![]() |
| Darren Bent alii patia Fulham bao la kufutia machozi katika dakika ya 77,na ilikuwa ni dakika ya 20 tu akitokea benchi. |
![]() |
Kaibu:Mwenuekiti mpya wa Fulham Shahid Khan alisalimia mashabiki kabla ya mchezo
|
Kikosi cha Fulham:
Stockdale 5, Riether 5, Hughes 5, Hangeland 6, Riise 5, Duff 5 (Bent
59-6), Parker 6, Sidwell 6 (Karagounis 75), Taarabt 6 (Kacaniklic 62-6),
Kasami 6, Berbatov 5
WACHEZAJI WA AKIBA: Ruiz, Briggs, Boateng, Etheridge
mfungaji: Bent 77
KADI Za njano: Parker, Kasami
Kikosi cha Arsenal:
Szczesny 6, JENKINSON 7, Sagna 7, Mertesacker 7, Gibbs 7, Ramsey 8,
Rosicky 7 (Wilshere 70), Cazorla 7, Podolski 8 (Sanogo 81), Walcott 8,
Giroud 7 (Monreal 72)
WACHEZAJI WA AKIBA: Fabianski, Frimpong, Gnabry, Zelalem
WAFUNGAJI: Giroud 14, Podolski 41, 68
KADI ZA NJANO: Ramsey, Wilshere





0 Comments