Ticker

6/recent/ticker-posts

OSCAR NA LAMPARD WAMKARIBISHA KWA FURAHA MOURINHO,WASABABABISHA MABAO MAWILI KATIKA MECHI YA CHELSEA NA HALL CITY

Chelsea walikuwa na furahia baada ya kumkaribisha Jose Mourinho darajani kwa ushindi,na hii ni baada ya kuwachapa  Hull City mabao mawili kwa mbwelele.( 2-0).
The Blues wameanza msimu mpya kwa raha  na shukrani za pekee  za mabao ziende  kwa Oscar  katika dakika ya 13 ya kipindi cha kwanza na Frank Lampard katika dakika ya 25,yalitosha kabisa kuwakatisha tamaa mapema Hll city.
Raha sana;Oscar akishangilia bao la kwanza na Torres
Hiyo ilikuwa ni  baada ya Lampard kukosa  penalti mapema katika dakika ya 6 kwa timu hiyo iliyo panda daraja , ambao walikuwa  na
wasiwasi mkubwa baada ya kuingia katika ligi kuu England.
Dooo!:Lampard alikosa penalti lakini baadaye aliwanyanyua mashabiki wa Chelsea.
Haikua bahati
Amerudi:Jose Mourinho akiwabusu mashabiki baada ya kuingia uwanjani,kuashiria kurudi kwake
Lampard aliposhinda bao la pili



makocha

kikosiChelsea: Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Cole, Lampard, Ramires, De Bruyne (Schurrle 67), Oscar (van Ginkel 85), Hazard, Torres (Lukaku 75)
Akiba wasio tumika: Essien, Mata, Ba, Schwarzer
Magoli: Oscar 13, Lampard 25
KIKOSI Hull City: McGregor, Elmohamady, Chester, Davies, Figueroa, Brady, Meyler (Huddlestone 59), Koren, Sagbo, Graham (Livermore 59), Aluko (Boyd 79)
Akiba wasio tumika : Rosenior, Bruce, McShane, Harper
waliohudhulia: 41,374
Refa: Jon Moss
Shabiki :juu na chini
 

Post a Comment

0 Comments