Ticker

6/recent/ticker-posts

MPANGO WA KUKUZA VIPAJI VYA TENESI AFRIKA WAZINDULIWA NCHINI.



Na.John Peter, IMEWEKWA AGOSTI 18,2013 SAA 9:00 ALASIRI

Kutokana na hali udi ya kiwango cha tenesi hapa nchini,taasisi mbali mbali zimeamua kuanzisha mpanga wa kukuza vipaji vya mchezo wa Tenesi,ambapo hapo jana umefanyika katika viwanja vya tenesi kijitonyama jijini Dar es salaam,chini ya makocha mbali mbali wakiongozwa na Salum Mvita.

Mpango huo ambao unajulikana kwa jina la TENNIS for AFRICA,pia unatambulika na paralimpiki kwa kababu pia una husisha wachezaji wa tenesi wenye ulemavu.



Katika mpango huo,vijana mbali mbali wa lika mbalimbali wamejitokeza kuhudhulia mashindano hayo ambayo yamekuwa
kivutio kikubwa kwa wadau ambao walijitokeza katika viwanja hivyo.

Lakini katika mpango huo,baadhi ya wadau wametoa wito kwa wadhamini kujitokezakudhamini watoto ili kuinua vipaji hata baadae kuwa na timu bora ya Taifa.

Post a Comment

0 Comments