Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA 07,SEPT.2018 SAA 02:00 USIKU
..
Kaimu katibu mkuu wa Young Africans Omar Kaaya amelitolea ufafanuzi
suala la kiungo Mohammed Issa ‘Banka’ ambaye
alisajiliwa na Young
Africans akitokea Mtibwa Sugar, lakini mpaka sasa hajaonekana kikosini,
huku ikidaiwa amefungiwa na shirikisho la soka barani Afrika CAF.
Bofya Chini Kusikiliza
0 Comments