Ticker

6/recent/ticker-posts

JAY-Z NA BEYONCE WATANGAZA LUGHA YA KISWAHILI

 Mhariri:Herman Kihwili.

I'm a gorilla in the f...n' coupe,Finna pull up in the zoo,I'm like Chief Keef meet Rafiki, who been Lion King to you.

Ni moja ya mistari inayopatikana katika Verse ya 2 nyimbo
APES**T ya kundi linaloundwa na JAY-Z na Beyoncé (THE CARTERS).

Katika mstari huo Jay z ametumia Neno la Kiswahili (Rafiki) akionekana kujisifia kuwa yeye ni kama mtawala aliyekutana na Rafiki(kwa maana ya Masai)ambaye alikuwa Mfalme kwa Simba wa msituni huko alikotoka.

ANGALIA VIDEO


>>..

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates

Post a Comment

0 Comments