Mhariri:Herman Kihwili.
Why Don't We ni Muunganiko wa Bendi ya Pop ya Vijana wa Kimarekani , kundi lililoanza kazi rasmi mnamo Septemba 27,
2016,ina vijana kama Jonah Marais Roth Frantzich kutoka Stillwater, Minnesota, Corbyn Matthew Besson kutoka Fairfax, Virginia, Daniel James Seavey kutoka Portland, Oregon, Jack Robert Avery kutoka Susquehanna, Pennsylvania, na Zachary Dean Herron kutoka Dallas, Texas,kabla ya kujiunga kila mmoja alikuwa anaandika kama wasanii wa solo.
VIDEO: Hooked - Why Don't We

0 Comments