Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.FEB.23.2018 SAA 02:35 USIKU
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola ameshtakiwa kwa kuvunja kanuni za FA na kanuni za matangazo.
Kucha huyo Raia wa Hispania "alivaa ujumbe wa kisiasa, hasa Ribbon ya njano," akilisema Chama cha Soka.
Guardiola alisema mnamo Novemba amevaa Ribbon ili kusaidia wanasiasa waliofungwa huko Catalonia, ambako alizaliwa.
Ana hadi saa 18:00 GMT siku ya Jumatatu 5 Machi 2018 kujibu mashtaka hayo.
FA imesema Guardiola juu ya suala hilo tayari alipewa onyo tangu katikati ya Desemba na rasmi mashtaka yamepatikana .
Kesi hiyo ilitokea wakati alipokuwa amevaa katika mchezo wa Kombe la FA dhidi ya Wigan .
0 Comments