Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.FEB.23.2018 SAA 03:56 USIKU
Hatimaye zari the bosslady amethibitisha kwa mara ya kwaza kuwa ameachana na mwanamuziki Diamond,
zari amezungumza hayo katika kipidndi cha Dira ya Dunia ya BBC na kusema kuwa kurudiana na Diamond haitawezekana tena,na kusisitiza kuwa hii siyo "kiki"
VIDEO
0 Comments