Ticker

6/recent/ticker-posts

PICHA:ANGALIA YANGA ILIVYOBANWA NA NDANDA NAGWANDA SIJAONA

   Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.SEPT.08,2016 SAA 03:00 ASUBUHI

Angalia picha za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara katika ya Ndanda Fc na YANGA SC ambapo mchezo huo umemalizika kwa
sare ya bila kufungana hapo jana katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara. 

ANGALIA PICHA
Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Ndanda Fc

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)


Post a Comment

0 Comments