Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.AUG 3,2016 SAA 10:45 JIONI
Kikosi cha Yanga sc Kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki na Timu ya Mtibwa Sugar kutoka mkoani Morogoro,mchezo
utakaopigwa katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam jumamosi hii.
Taarifa kutoka klabu hapo zinasema kiingilio katika mchezo huo wa kirafiki wa kujiandaa na msimu wa ligi kuu 2016/2017 ni shilingi 5,000.
Mchezo huo unatarajia kuanza majira ya saa 10 jioni,mara baada ya kufanyika kwa mkutano mkuu wa mwaka wa klabu hiyo unaotarajia kufanyika katika ukumbi wa Dimond Jubelee asubuhi,na tiketi zitauzwa hapo hapo.
0 Comments