Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.AUG 3,2016 SAA 11:43 JIONI
Aliyekua
mlinda mlango wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania juma Pondamali huenda akaachana na klabu
ya Young Africans
ambayo ameitumikia katika nafasi ya kocha wa makipa kwa miaka kadhaa.
ambayo ameitumikia katika nafasi ya kocha wa makipa kwa miaka kadhaa.
Pondamali
amethibitisha kuwa tayari kuondoka klabuni hapo, kufuatia mkataba wake
kufikia kikomo na mpaka sasa hakuna mazungumzo yoyote yanayoendelea kati
yake
ya uongozi wa Young Africans.
Amesema
endapo itatokea suala la yeye kushindwa kupewa mkataba mpya ndani klabu
hiyo kongwe, atajielekea katika klabu nyingine ambayo tayari
imeshaonyesha nia
ya kutaka kufanyanae kazi.
MSIKILIZE JUMA PONDAMALI
Hata
hivyo pondamali amesema hana mpango wa kuwa na ndoto za kutoka nje ya
nchi na kwenda kusaka kazi ya kuwa kocha wa makipa katika timu za taifa
ama klabu,
kutokana na kuwa na kiu ya kutaka kuwanyanyua watanzania.
Wakati
huo huo Pondamali akazungumzia kozi ya makocha ambayo anashirikishi kwa
kusema inaendelea kumuongezea ujuzi na anaamini hata washiriki wenzake
wananufaika
na mafunzo wanayoyapata.

0 Comments