Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA.AUG 2,2016 SAA 01:50 USIKU
Mrembo na Mjasiriamali kutoka Tanzania Jokate Mwegelo, hii leo Agosti 2, 2016 amezindua rasmi uwanja wa netball na mpira wa kikapu (Basketbll) katika shule ya Sekondari Jangwani ya wanawake uliojengwa kupitia taasisi yake ya Kidoti foundation ikishirikiana na taasisi ya Mo- Dewji foundation.
Uwanja huo ulioghalimu shilingi milionI 50 umezinduliwa na Sophia Mjema ambaye ni mkuu wa wilaya ya Ilala.
SIKILIZA HAPA
ANGALIA PICHA ZA UZINDUZI
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
0 Comments