Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO/PICHA:JOKATE "KIDOTI" NA MO DEWJI FOUNDATION WAZINDUA UWANJA WA MPIRA WA KIKAPU SHULE YA JANGWANI

 Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.AUG 2,2016 SAA 01:50 USIKU


Mrembo na Mjasiriamali kutoka Tanzania Jokate Mwegelo, hii leo Agosti 2, 2016 amezindua rasmi uwanja wa mpira wa
kikapu (Basketball) wa shule ya Sekondari Jangwani ya wanawake uliojengwa kupitia taasisi yake ya Kidoti foundation ikishirikiana na taasisi ya Mo- Dewji foundation.

Uwanja huo ulioghalimu shilingi milionI 50 umezinduliwa na Sophia Mjema ambaye ni mkuu wa wilaya ya Ilala.


SIKILIZA HAPA


ANGALIA PICHA ZA UZINDUZI
















KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)

Post a Comment

0 Comments