Klabu ya Simba Kutoka Jijini Dar es salaam,imeanza vyema Ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kuweza kuchomoka na ushindi
mabao 3 kwa 1 dhidi ya Ndanda Fc kutoka Mtwara katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliuopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam
mabao 3 kwa 1 dhidi ya Ndanda Fc kutoka Mtwara katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliuopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam
Goli la kwanza la Simba Limefungwa na Dakika ya 19 na Laudit Mavugo baada ya dakika za mwanzo
kukosa kama mabao mawili.
Dakika ya 36, Omary Mponda aliisawazishia Ndanda. matokeo yakawa 1-1.
Bao la pili la Simba Likafungwa na Fredrick Blagnon dakika ya 74 na Dakika ya 79 Shiza Kichuya akaipatia simba bao la tatuDakika ya 36, Omary Mponda aliisawazishia Ndanda. matokeo yakawa 1-1.
MATOKEO MENGINE
Manungu, Morogoro. Mtibwa 0- 1 Ruvu Shooting.
Manungu, Morogoro. Mtibwa 0- 1 Ruvu Shooting.

0 Comments