Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.AUG 6,2016 SAA 03:06 USIKU
ANGALIA PICHA
YANGA
SC Yanga leo imecheza mechi ya tano bila kushinda hata moja, baada ya
kulazimishwa sare ya 0-0 na Mtibwa
Sugar ya Morogoro katika mchezo wa
kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.ANGALIA PICHA



0 Comments