Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.AUG 4,2016 SAA 08:33 MCHANA
Nyota
wa timu ya Mpira wa Miguu ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 – Serengeti
Boys wakiwa na furaha ya aina
yake mara baada Kikosi ya mazoezi kwenye viwanja vya mazoezi
ya Uwanja wa FNB, Johannesburg Afrika Kusini. (Picha zote na Alfred Lucas wa TFF).
Nyota
wa timu ya Mpira wa Miguu ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 – Serengeti
Boys wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada Kikosi ya mazoezi kwenye viwanja vya mazoezi
ya Uwanja wa FNB, Johannesburg Afrika Kusini. .
ANGALIA PICHA ZAIDI
| Kaimu Kocha wa Makipa, Juma Kaseja Juma akifuatilia mazoezi |
0 Comments