Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:JERRY MURO AIBUKA LEO NA KUSEMA HAYA JUU YA TFF

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.AUG 5,2016 SAA 12:00 JIONI

Mkuu wa idara na mawasiliano wa klabu bingwa Tanzania bara, jerry Muro ameibuka na kudai kuendelea na kazi yake kama kawaida licha
ya shirikisho la soka nchini TFF kutangaza kumfungia kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Muro ambaye alikua kimya kwa majuma kadhaa na kudhaniwa huenda alikua ameanza kutii adhabu aliyotolewa na kamati ya maadili ya TFF, amesema ukimya wake hakua na maana hiyo.

Amesema sipo sababu kadhaa ambazo zinampa nafasi ya kuendelea na jukumu la usemaji kutokana na mwajiri wake kutopokea baadhi ya vielelezo kutoka TFF.

MSIKILIZE  JERRY MURO


KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)

Post a Comment

0 Comments